Wedding

Ndoa ni nini? Ndoa ni muungano wa mwanaume na mwanamke unaokubalika kiutamaduni na kidini ambao unatarajiwa kudumu, kuwapa haki sawa za kijinsia na kutosheleza majukumu mengine ya kijamii.
 Katika ndoa kuna matabaka mawili. Tabaka la kwanza ni kwa wanandoa kufurahia ndoa yao na tabaka la pili ni la wanandoa kuijutia ndoa yao. Hakika ndoa inaraha sana na nitendo la heshima mbele za Mungu.

 Hivi ulishawahi kujiuliza ni kwa nini siku ya harusi wanandoa wote huwa na furaha?
 Hapa bwana harusi na bibi harusi wakila poz la picture Beach
 I like this place, tizama namna gani walivyo pendeza wakizunguukwa na watoto


 Baba harusi mweshimiwa wakimfungulia mlango wa gari

 Mambo ni kama haya mtizamo wa poz kwa poz sisi huwa hatupendi cha siri yote tunayatia wazi akisema baba harusi na bibi harusi mbele ya wazai na marafiki
                      Tizama vijana wa Aejn hongera sana kwa kazi yenu nzuri ALLAH awalipe
                   Picha niliyotokea kuipenda mie mwenyewe Blogger....!!!!
 Prince & Princesse wakikamilisha ratiba yao

 Tunawatakia maisha mema na ALLAH awe nguzo yenu, ndoa yenye furaha mapenzi ya kweli na mpate watoto wazuri sana.

0 commentaires:

Sema Tunakuskia na wewe