Latest Posts

NADAVCOM VISION: Exclusive: Barnaba amshirikisha Kidum kwenye wimbo uliodhaminiwa na Barclays Bank – ala shavu la mil 25

NADAVCOM VISION: Exclusive: Barnaba amshirikisha Kidum kwenye wimbo uliodhaminiwa na Barclays Bank – ala shavu la mil 25

Rumonge city ona swagger alizokuanazo Abrams Muller

For the first time akifika Rumonge city ABRAMS MULLER alivyokua ana shine kwa swagger nyingi xana.

Zinazobaki ni picha

like usually man
Akiwa pamoja na mchizi wake
No comment
I like this pic tizama alivyokua kma T-Pain


UK TOUR:HILI NDIO VAZI ALOVAA DIAMOND KWENYE SHOW MJINI READING


Hi ni picha ya super star Diamond aliwekaa jana kwenye
mtandao wake wa Instangram

akiwa amejitayarisha swadakta kabisa kwenda
kushambulia jukwaa.....pamoja na
dancers wake pichani awapo...!!
Dress code hiyo ya Kinyama ambayo imedizainiwa na vijana
machachari kutoka Bongo land

Twinsfashion Akufunguka kuwa gharama yake,
Lakini ni ya kinyama sana....!!
More Info About Diamond Platnumz;Follow Him On
Instangrama By DiamondPlatnumz,On Twitter By
@Diamondplatnumz,On Facebook By Diamond Platnumz
and u can also connect with Him
By His Fan Page Goes By Diamond Platnumz............
The Black snack
Zinazo fata ni pic za UK TOUR ya Diamond 
Hii ni picha nyingine aliweka kwenye mtandao wake wa
Instangram akiwa ana baridhi
mazingira ya nje mjini READING
Akitafakari kabla ya Show Ya jana usiku........

Picha ya mtu anayefanana na Jay-Z ‘copyright’ ya mwaka 1939 yawashangaza wengi

Jana wafanyakazi wa maktaba ya Schomburg Center ya New York Marekani
wamepata picha ya mtu ya mwaka 1939 anayefanana na Jay-Z kila kitu.

Jana wafanyakazi wa maktaba ya Schomburg Center ya New York Marekani
wamepata picha ya mtu ya mwaka 1939 anayefanana na Jay-Z kila kitu.

Exclusive: Barnaba amshirikisha Kidum kwenye wimbo uliodhaminiwa na Barclays Bank – ala shavu la mil 25

Hitmaker wa Sorry, Barnaba amerekodi wimbo na msanii nguli wa Burundi aishiye nchini Kenya, Kidum uliofanyika jijini Nairobi, Kenya chini ya producer Kelly.


Wimbo huo uitwao Wamama umerekodiwa kwa udhamini wa benki ya Barclays
ambayo ni miongoni mwa wadhamini wa kampeni ya Montage Charity Ball 2013’ iliyoanzishwa na Teddy Mapunda kwaajili ya kukusanya fedha kusaidia afya za wanawake. Barnaba ameiambia Bongo5 kuwa gharama ya kurekodi wimbo huo pamoja na malipo yao, usafiri na malazi ni zaidi ya shilingi milioni 25.Amesema moyo wake wa kujitolea katika masuala ya kijamii, ni sababu kubwa ya kuchaguliwa na kampuni ya Montage Limited kurekodi wimbo huo.
“Nimeamua kuimba kuhimiza watu kuchangia afya za akinamama kwasababu mama anapokuwa vizuri basi kizazi cha mama ama mtoto pia naye atakuwa vizuri,” amesema Barnaba.
“Unafahamu kabisa kwamba wamama wanakosa zahanati nyingi za kujifungulia, zahanati za kwenda kucheck clinic afya za watoto wao. Kwahiyo nikaamua kujitolea tu lakini mafanikio na vitu vilivyokuja au thamani ya kitu imekuja baada ya moyo wangu kujitolea na kukubali ndio Barclays wakaamua kusponsor safari yangu na kiasi cha fedha tulichopewa, kilikuwa na baada ya Barclays kuaminia kwamba Barnaba anaweza ufanya vizuri, ndio maana walinilipa vizuri.”
Sherehe za kuzindua mradi huo zitafanyika tarehe 8 mwezi ujao.













k

Burundi yahimizwa kupanga uzazi

Burundi ikiwa ni moja ya nchi masikini sana duniani imetakiwa na shirika la umoja wa mataifa linalo jihusisha na ongezeko la watu duniani kupunguza idadi ya watoto wanaozaliwa ili kupunguza umasikini huo.
Imelengwa kila mwanamke azae watoto wasio zidi watatu katika malengo ya maendeleo hadi mwaka 2025.
Shirika hilo la Umoja wa mataifa limeanzisha kampeini kabambe ya kuwahimiza wananchi kupanga uzazi.
Miongoni mwa masuala yaliyochapishwa na shirika hilo kuonyesha umuhimu wa kupanga uzazi ni kuwa kila mwanamke wa Burundi, kwa uchache ametajwa kuzaa watoto zaidi ya sita inatishia kuiweka nchi hiyo miongoni mwa nchi za Afrika iliyo na msongamano mkubwa zidi wa makaazi.
Burundi ni nchi ndogo iliyo na wakaazi milioni nane waliosongamana katika kilomita mraba elfu ishirini na nane pekee.


Bayern yaitandika 4-0 Barcelona

Mabingwa wa Ujerumani, Bayern Munich wamejiweka katika nafasi nzuri ya kutinga hatua ya fainali ya michuano ya klabu bingwa barani Ulaya baada ya kuitandika Barcelona 4-0 katika mchezo wa kwanzawa nusu fainali nchini Ujerumani.

Mabao mawili ya Thomas Müller, na yale ya Mario Gomez na Arjen Robben yaliizamisha Barcelona ambayo ilikuwa na nyota wake wote wakutegemewa,akiwemo Messi ambaye alikosa michezo kadhaa kabla ya kuanzishwa usiku huu.
Hii imekuwa mara ya kwanza kwa Barcelona kufungwa mabao 4-0 tangu mwaka 1997 walipofungwa na Dynamo Kiev ya Urusi mwaka 1997 kwenye hatua ya robo fainali ya michuano ya klabu bingwa barani ulaya.
Bayern Munich wametoka kutawazwa kuwa mabingwa wa Ujerumani wiki chache zilizopita na iwapo watafanikiwa kuiondosha Barcelona na kutinga hatua ya fainali ya michuano ya klabu bingwa, itakuwa fainali yao ya tatu kushiriki ndani ya miaka minne.