WEMA SEPETU AAMUA KUMUENZI MCHINA WAKE KWA KUJICHORA TATTOO ZA KICHINA SHINGONI NA MGONGONI.


 Baada  ya  Kajala  masanja  kujichora  tattoo  zenye  jina  la  Wema  kama  ishara  ya  kumshukuru  kwa  msaada  wake, Wema  naye  ameamua  kujitandika  tattoo  ya  kichina  yenye  maana  ya  "Potential" au "MUHIMU" kama  ishara  ya  kumuenzi  mchina  wake
"MPENZI WAKE"

0 commentaires:

Sema Tunakuskia na wewe