PROJECT MPYA YABONGE LA BWANA YA “JB” YAWA GUMZO MTAANI




Bonge la bwana ndio jina linalo vuma kwa msanii wa Bongo Movies Jacob Stephen a.k.a JB. Kwa sasa JB ameingiya rasmi katika ujasiriamali baada kuzindua mavazi yake ya JB Wear na kuwauzia wapenzi wafilamu wanaopenda kumuunga mkono katika harakati zake za filamu Bongo, JB alisema naye anaungana na wasani wa kubwa duniani ambao pamoja na kazi za sanaa pia umiliki biashara nyingine.



Ninafahamu kwa sasa jina langu katika sanaa limekua zaidi na ninahitaji kuwa na lebo yangu kwa ajili ya watu wangu ambao kila siku wananunua kazi zangu baada ya kupokea maoni nimeamua kutangaza mavazi yangu JB wear na Jb Bonge la bwana tayari T-shirt na Top zimeingia na zinapatikana katika maduka mbali mbali  alisema Jb


0 commentaires:

Sema Tunakuskia na wewe