LULU MICHAEL, MAMA YAKE NA MAMA KANUMBA WATEMBELEA KABURI LA MAREHEMU KANUMBA .
Muigizaji Lulu, mama yake, na mama
mzazi wa marehemu Steven Kanumba walikua miongoni mwa watu walioshiriki
katika misa ya kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu marehemu Kanumba afariki
dunia, na kutembelea kaburi la msanii huyo Kinondoni, Dar. Lulu, ambaye
ana kesi ya kuhusika na kifo cha msanii huyo, yuko nje kwa dhamana.
Zifuatazo ni baadhi ya picha za tukio hilo










0 commentaires:
Sema Tunakuskia na wewe