JE UNAFAHAMU SABABU KUU ZA WANAWAKE/ WASICHANA WENGI KUVAA NUSU UCHI?
Wakati mwingne wanaume hudhani kwamba, wanawake wanaovaa nusu uchi huwa
wanafanya hivyo kwa sababu ya kutafuta soko kwa wanaume. Inawezekana
kukawa na wale ambao wana sababu hizo, lakini wapo wale ambao wanalipa
fidia kutokana na kuamini kwao kwamba, sura zao zimewaangusha, hivyo
miguu yao mizuri inabidi kuziba pengo au udhaifu huo. Wakati mwingine
hata wanawake wanaodhani au kudhaniwa kuwa ni wazuri, wamekuwa wakivaa
nguo fupi zinazoonyesha maungo yao.
Hawa nao ni lazima wanalipa fidia ya kasoro fulani waliyo nayo. Inawezekana wameshindwa kulinda ndoa zao, au inawezekana hawajaolewa na sasa wanataka kuonyesha kwamba, pamoja na kutoolewa kwao, bado wao wana sura na miguu au miili mizuri.
Udhaifu wowote ambao unamkera mwanamke iwe ni wa moja kwa moja au kupitia nyuma ya ubongo wake, unaweza kuonyeshwa kwa mwanamke huyo kuyatangaza yale maeneo ya mwili wake ambayo anaamini ni mazuri. Kuyatangaza huko humpa ahueni kwa kuamini kwamba bado anayo thamani, kwani ataangaliwa sana na wanaume, kusifiwa na pengine kutongozwa.
Hebu angalia wanawake ambao wanavaa nguo za kubana huku wakiwa na makalio makubwa. Hawa mara nyingi wana sura ambazo wao au wengi huamini kwamba ni mbaya. Huvaa nguo hizi ili kuonyesha kwamba, pamoja na ubaya wa sura zao, bado wao ni wazuri sana katika maeneo mengine ya mwili ambayo wanaume na hata wanawake wengi huyapenda au kutamani kuwa nayo.
Wengi hawavai tu nguo hizi za kubana kwa sababu ni fasheni, la hasha, wengi hili ni kimbilio la udhaifu wao

0 commentaires:
Sema Tunakuskia na wewe