HII MPYA: RIHANNA ANA UJAUZITO WA CHRIS BROWN

Word on the street: Rihanna ni mjamzito wa mtoto wa Chris Brown

Kuna tetesi zenye nguvu kuwa huenda hitmaker wa Diamonds, Rihanna anatarajia kupata mtoto na mpenzi wake Chris Brown. 

Tetesi hizo zilizoandikwa na websites za kuaminika za nchini Marekani zimekuja baada ya staa huyo kusogeza mbele tarehe za ziara yake Diamonds wiki hii kutokana na kuwa mgonjwa.

Wiki hii Rih mwenye miaka 25, alionekana akienda kuonana na daktari jijini Los Angeles.


0 commentaires:

Sema Tunakuskia na wewe